Msaada wa haraka jamani tuokoe jahazi

Ian_

Member
Dec 1, 2019
7
6
Salam wana jamvi, wa thread ya elimu.

Going straight to the point, mmi ni first year nasoma BEE Bachelor of Electrical and Electronics, lakini shida ni kwamba naona kama mambo hayaendi kwani kiukweli lecturers wetu kufundisha ni mzozo.

Na sina guidelines zozote za vitabu vya Electrical zaidi ya vitabu vya Linear Electronics, Electrical technology na Hughes lakini shda ni kwamba yaani naona naenda enda tu.

Naomba ushauri faculty ninaipenda.
 
Ningekushauri tatizo nimeishia darasa la Kumi B baada ya kupata ufaulu hafifu ulionikwamisha kuendelea na darasa la 11.
 
Bado transfer window inamalizika Tarehe 6/12/2019 nenda vyuo vingine Dar
 
Mimi kama baba sitambui,
Ukifeli usirudi kwangu.
 
Tafuta wadau wa vyuo tofauti mnaoshea course, pia jaribu kuperuzi open university kama wana hiyo course jamaa wanakuwaga na vitabu vizuri
 
Njoo DSM usome CHUO CHA UTALII, vitabu vipo vya kutosha na IPT bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ