msaada wa haraka jaman


M

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Messages
143
Likes
21
Points
35
M

maleka

Senior Member
Joined May 23, 2013
143 21 35
wana jf naombeni mnisaidie proceedure za kuomba mkopo na chuo kwa ujumla coz nimemaliza f6 lkn naona wananichanganya ktk hiz proceedure.Naombeni msaada.
 
MASIKIN JEURI

MASIKIN JEURI

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
134
Likes
0
Points
0
MASIKIN JEURI

MASIKIN JEURI

Senior Member
Joined Jan 31, 2013
134 0 0
Wanakuchanganya nini au ww ndiye unaejichanganya. form 6 unashindwa kujua ni fanye nini au na ww ulifaulishwa kuingia form 5? chakufanya visit chuo unachotaka ku join ktk website yao, ujue wanatoa programe zipi ukisha ona program unayoitaka, nenda website ya tcu-tanzania commission for universities, unafanya online application. utapata admission online through tcu. usiwe mvivu kusoma usije ukawa kama akina Mh.Dr. Kawambwa
 
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
361
Likes
2
Points
0
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
361 2 0
wana jf naombeni mnisaidie proceedure za kuomba mkopo na chuo kwa ujumla coz nimemaliza f6 lkn naona wananichanganya ktk hiz proceedure.Naombeni msaada.
Msomi mzima unaandika kama unakimbizwa? pole sana..
 

Forum statistics

Threads 1,273,250
Members 490,339
Posts 30,475,337