Jana nimepokea simu yangu galaxy s4 i9500,tatizo kubwa tangu hiyo jana asubuhi nimecheza nayo hadi sasa nimechemka.sijafanikiwa kuunga intenet.nahitaji msaada wenu tafadhali
cha msingi kama hujui kitu nyamaza kimya.kwanza tatizo limetatuliwa na mtaalam mwl rct hapa nakula goodtime na s4 kweli najuta kukaa na tecno muda mrefu.s4 ni zaidi ya simu
cha msingi kama hujui kitu nyamaza kimya.kwanza tatizo limetatuliwa na mtaalam mwl rct hapa nakula goodtime na s4 kweli najuta kukaa na tecno muda mrefu.s4 ni zaidi ya simu
mkuu air gesture ni pale unapopitisha mkono juu ya kioo cha simu yako pasipo kugusa mfano wakati unatazama picha si lazima uguse kioo cha simu n k.umenipata?