Msaada wa haraka:Applicant's Demographic and Place of Domicile details Form

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Nipo kwenye mchakato wa kuomba mkopo wa kusoma Elimu ya juu.Nipo Cafe na nimeshindwa kupata mwaka wangu wa kuzaliwa katika hiyo fomu ya HESLB,miaka imeandikwa kuanzia 1940 hadi 1987 tu! sasa mimi nimezaliwa baada ya hapo ntafanaje? Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom