Msaada wa graphic driver

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
571
Reaction score
117
Leo nimdjaribu kuplay game kama vice city, pes 4, zimegoma kuplay ,nyingine zinatoa sauti tu bila picha. Zinadai ni update graphic driver. Nahijaji msaada wa jinsi ya kupdate mana mwenzenu n mgeni wa haya mambo.PC yangu n lenovo B590.
 
inatumia window gani tafuta kwenye google kwa kuandika Vga drivers for lenovo B590.window xxxxx hapo kwenye xxxx andika window unayotumia
 
ni Window 7. Poa ngoja nijaribu
 
nenda kwenye device manager (computer>propertiea>device manager) uangalie kama kuna icon ina alama ya njano. na pia angalia kama kuna display adapters na nini kimeandikwa pale. ila lazima ujue kuwa PC yako ina video card ya Intel na usitegeme kucheza latest games nayo
 

mh!
bro hebu 2eleze kwann Huwez cheza latest game kwenye Intel?
 
mh! bro hebu 2eleze kwann Huwez cheza latest game kwenye Intel?
intel ni watengenezaji wa processors. wakitengeneza mashine wanafunga video card ndogo ya kufanya basic stuff kama watching videos on ur PC. kuna watengenzaji wawili wakubwa wa video cards ni ATI & Nvidia. Hawa ndo hutengeneza video cards za kufanya kazi kubwa kubwa kama vile gaming, video editing, HD videos etc.. ukitaka kununua laptop ya kuchezea games, lazima uwe makini sana uhakikishe umenunua laptop iliyofungwa card ya Nvidia au ATI. hizi laptops sana sana huwa na label ya tatu (za kwanza mbili zikiwa ni za OS na Processor)
 

mkuu unacheza latest game sema kwa resolution ndogo
 
mkuu unacheza latest game sema kwa resolution ndogo
games kama Crysis 3, Assassins Creed 3, NFS Most Wanted, Elder Scrolls V: Skyrim, Battlefield 3, GTA IV, & Witcher 2 ni baadhi ya games hutaweza kucheza on an intel video card even at the lowest resolutions. nimetaja hizi games coz ndizo currently napasuana nazo na wahikaji wakija kwangu na wao wanataka, nimeinstall kwenye laptops nyingi na ninaweza kusema with confidence, these games will not run on Intel based video cards. ninavyosmema kurun namaanisha kuwa na a constant 30fps. ukweli ni kwamba unaweza cheza hata kwa 20fps, lakini hii sio full experience ya game as unakuta inalag sana, inaload miaka na generally game inakuwa sio tamu kama inavyotakiwa
 

Nakubaliana na wewe kabisa, nimeweka NFSMW 2012 kwenye Laptop yenye Intel Core i3 na Intel HD 3000 asee game ina lag kama CD mbofu, inabidi kuwa makini sana kwa mtu anaetaka kununua laptop kwaajili ya gaming,
 

mkuu mi hapo juu magame ulotaja sijayacheza ila gta IV nimeinstall kicomputer cha 1.6 ghz amd e-series ni processor ndogo sana na inarun smooth.

Nimeistall pia
-pes 2013
-pes2011
-pes2010
-lord of the ring online.

Sasa kama pes 2013 ndo inarun smooth kabisa wala hujui. Just unaenda folder uliloinstall kwenye program files>konami>pes 2013>then utaona icon ya setting graphic unazikuta high unaeka medium au low na resolution unairudisha 600x800 kama sjakosea default inakua 1200x700 utaona game linakua jepesi kabisa
 
Nimesha solve hlo tatizo la driver na sasa na enjoy2. ila naomba mnisaidie jinsi au wapi naweza download games kama fifa 2011,need for speed, gta san andreas for free(sio demo) mana nina kama gb 25 za internet hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…