msaada wa gharama ahlisi ya hii gari

Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
1,018
Points
1,225
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
1,018 1,225
Wana bodi heshima yenu, najua hapa ndo kwenyewe, ni kama vile kwenda TRA, bandarin nk kupata taarifa za kina.

Nataka niagize gar used toka Jap, nimejaribu kuangalia angalia nikapenda gar (RAV 4) hii yenye sifa zifuatazo.

Ref NoBF128876
LocationYOKOHAMA
Mileage105,910
Model CodeTA-ACA21W
Registration
Year/month
2000/8
Manufacture
Year/month
Click to view
GradeX
Chassis #ACA21-0024219
Engine Size1,990cc
Engine Code1AZ
Drive4wheel drive
Ext. ColorChampagne
SteeringRight
Transmiss.Automatic
FuelGasoline/Petrol
Seats5
Doors5

Bei ni FOB USD=4,055 na CIF 5,471.

Sasa wakuu ili nisijeingia mkenge ukizingatia wazir wa fedha ameshatoa bei mpya. Hii mashine mpaka niingie nayo barabarani itanigharimu shs ngapi?

Nimejaribu kutuma chart walioweka TRA ili angalau nijue bei ya zaman nimeshindwa kufanya calculation wakuu wangu.

shukran, Nawakilisha wakuu,
 
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Points
1,225
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 1,225
Kwanza kabisa bwana Ndechumia litakapofika pale port na kuanza clearance TRA watakuja na CIF yao siyo hiyo yako hapo juu,nakumbuka mwaka jana niliingiza mwaka jana ushuru ulikuwa 6.5ml bila dumping fee,hilo lako lina dumping fee sasa andaa at least 7.3ml uwe nayo mkononi lolote lawezatokea,hesabu zao hazieleweki kabisa
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,636
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,636 2,000

Additionally,
weka na 1mil ingine kwa ajili ya Agent fee, shipping line, wharfage, storage (if any), e.t.c
 
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Points
1,225
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 1,225
Additionally,
weka na 1mil ingine kwa ajili ya Agent fee, shipping line, wharfage, storage (if any), e.t.c
Bwana shark umesahau anatakiwa pia kutenga pembeni 'chai kidogo'ya mkaguzi na yule bwana anayetoa release !!!
 
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
1,018
Points
1,225
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
1,018 1,225
inamaana USD 5,471+6.5Mill+7.0 Mil+1mil+chai+storage+insurence+road licence+..............
mbona ishakuwa zaidi ya mill 22?

hapa tutachomoka kweli?
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,636
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,636 2,000
inamaana USD 5,471+6.5Mill+7.0 Mil+1mil+chai+storage+insurence+road licence+..............
mbona ishakuwa zaidi ya mill 22?

hapa tutachomoka kweli?
Compare na aina ya gari unaionaje hiyo bei??
 
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Points
1,225
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 1,225
Kaka ndechumia toyota Ist ya mwaka 2004(haina dumping fee) mpaka kuiweka barabarani ni zaidi ya 4ml mbali ya pesa ya kuinunua ndio maana showroom watakuanzia 11ml.Hilo gari lako lina dumping fee ambayo kuanzia 1/7 itakuwa 25% sasa andaa kama 8ml ili kuliweka barabarani.sijaelewa hesabu yako 6.5ml ilikuwa ni gari jingine haipo kwenye gari lako
 
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Messages
1,018
Points
1,225
Ndechumia

Ndechumia

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2011
1,018 1,225
Kaka ndechumia toyota Ist ya mwaka 2004(haina dumping fee) mpaka kuiweka barabarani ni zaidi ya 4ml mbali ya pesa ya kuinunua ndio maana showroom watakuanzia 11ml.Hilo gari lako lina dumping fee ambayo kuanzia 1/7 itakuwa 25% sasa andaa kama 8ml ili kuliweka barabarani.sijaelewa hesabu yako 6.5ml ilikuwa ni gari jingine haipo kwenye gari lako
kaka nimekupata asante sana.
 
Forum statistics

Threads 1,284,070
Members 493,941
Posts 30,811,622
Top