fasi dwasi R I P Joined Sep 23, 2018 Posts 105 Reaction score 113 Sep 3, 2019 #1 Wakuu natumah mpo njema ile kinjema E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar Msaada plz
Wakuu natumah mpo njema ile kinjema E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar Msaada plz
K king herode JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 370 Reaction score 579 Sep 4, 2019 #2 Pc yako iko vizur lkn in terms of specification mm nauza hapa njoo uchukue uje na 10000 nipo ubungo msewe
Pc yako iko vizur lkn in terms of specification mm nauza hapa njoo uchukue uje na 10000 nipo ubungo msewe
alongakeke Member Joined Feb 3, 2017 Posts 98 Reaction score 30 Sep 5, 2019 #3 fasi dwasi said: Wakuu natumah mpo njema ile kinjema E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar Msaada plz Click to expand... Mkuu una mashine ya uhakika? Kama huna mashine wasiliana nasi Soko kuu, kwa namba 0769 524 022. Upate pc yenye nguvu kwa ajili ya gaming.
fasi dwasi said: Wakuu natumah mpo njema ile kinjema E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn Mwenye nalo la mwaka wowote lile mi litanifaa maana nina ugwadu na FIFA ile mbaya Nitalifuata hilo game popote utapokuwa ndani ya Dar Msaada plz Click to expand... Mkuu una mashine ya uhakika? Kama huna mashine wasiliana nasi Soko kuu, kwa namba 0769 524 022. Upate pc yenye nguvu kwa ajili ya gaming.
fasi dwasi R I P Joined Sep 23, 2018 Posts 105 Reaction score 113 Sep 6, 2019 Thread starter #4 king herode said: Pc yako iko vizur lkn in terms of specification mm nauza hapa njoo uchukue uje na 10000 nipo ubungo msewe Click to expand... E bhna eeeh cjawah kununua set up za game mzee baba acha kunizingua
king herode said: Pc yako iko vizur lkn in terms of specification mm nauza hapa njoo uchukue uje na 10000 nipo ubungo msewe Click to expand... E bhna eeeh cjawah kununua set up za game mzee baba acha kunizingua
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Sep 6, 2019 #5 Kama machine yako ina nguvu ya kusukuma ilo dude kuna FIFA 18 apa njoo na buku 5 tu
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,348 Dec 17, 2019 #6 Angalia uwezo wa pc yako Kisha Zama, Oceanofgames.com Kickass.com Piratebay.com Fitgirl.com Na GB zako za kutosha, una download unainstall, unaplay mzigo unaanza kucheza Kama utatumia pad au keyboard Hilo juu yako.
Angalia uwezo wa pc yako Kisha Zama, Oceanofgames.com Kickass.com Piratebay.com Fitgirl.com Na GB zako za kutosha, una download unainstall, unaplay mzigo unaanza kucheza Kama utatumia pad au keyboard Hilo juu yako.