Msaada wa gari la kutoka Dar kuelekea Singida

bint white

Senior Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
168
Reaction score
323
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Nipo Dar, nimepata msiba nyumbani Singida, taarifa nimepata asubuhi hii.Nimekosa mabasi yanayoenda Singida kwasasa.

Naombeni msaada mwenye gari anayeelekea Singida anisaidie, natanguliza shukrani.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu, nipo dar, nimepata msiba nyumbani singida, taarifa nimepata asubuhi hii, nimekosa mabas yanayoenda singida kwasasa, Naombeni msaada mwenye gari anayeelekea singida anisaidie, natanguliza shukrani
Pole sana mkuu Mimi nipo singida msiba umetokea maeneo gani kwa hapa singida mjini
 
Pole sana. Ungechukua mabasi ya Dodoma usogee. Ukifika Dodoma unatafuta gari zozote za Singida. Pole sana
Asante mkuu, kufanya hivo gharama imekuwa kubwa, nitatakiwa nilale dodoma, nilihitaji ya moja kwa moja
 
Habari za asubuhi ndugu zangu, nipo dar, nimepata msiba nyumbani singida, taarifa nimepata asubuhi hii, nimekosa mabas yanayoenda singida kwasasa, Naombeni msaada mwenye gari anayeelekea singida anisaidie, natanguliza shukrani

Shuka pale kimara Kona kavizie IT zinzoenda Congo na Rwanda
 
Habari za asubuhi ndugu zangu, nipo dar, nimepata msiba nyumbani singida, taarifa nimepata asubuhi hii, nimekosa mabas yanayoenda singida kwasasa, Naombeni msaada mwenye gari anayeelekea singida anisaidie, natanguliza shukrani

Panda la saa 2 dodoma .. kaunganishe juu kwa juu
 
Panda gari yoyote ya Dodoma, ukifika utapata za Singida zipo mpaka saa 1 jioni
 
Huu ndo ushauri mzuri sana na salama,pale kuna vinoah coaster bus za sindiga mpaka usiku,nafikiri atakuwa keshadandia gari ya dom
Pole sana. Ungechukua mabasi ya Dodoma usogee. Ukifika Dodoma unatafuta gari zozote za Singida. Pole sana
 
Huu ndo ushauri mzuri sana na salama,pale kuna vinoah coaster bus za sindiga mpaka usiku,nafikiri atakuwa keshadandia gari ya dom

Akifika Dodoma hawezi kukosa gari. Iwe ni binafsi au la biashara lakini atapata la kumpeleka Singida.

Lakini tatizo inaweza kuwa ni bajeti.
 
Pole na msiba kufiwa kusikie tuu kwa mwenzio mungu akufikishe ukawahi kuzika.
 
Back
Top Bottom