Msaada Wa Garage Nzuri Ya Subaru Dar

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,075
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,075 2,000
Sidhani kama dar kuna gereji ya subaru tuu.lkn mm nawafaham mafundi wanao tengeneza au deal na subaru.dar
 

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,075
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,075 2,000
Kinondoni biafra..sema ungetaja gari yako ina shida gani ndio ingekuwa vizuri zaidi.kama ni upande wa umeme au machenical
 

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,075
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,075 2,000
Gari ni gari tuuu.sijui subaru,toyota,nissan,isuzu bmw benzi n.k tofauti majina tuu lkn ufanyaji wa kazi ni sawa.ukiona kama ww ni fundi harafu unashindwa kurebisha jua unashida ww.

Ufundi unahitaji kila siku.kujifunza.

Asilimia kubwa wengi huwa wanakuwa wauza spea. Ila fundi wa kweli hachagui gari
 

Eternal_Life

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
818
Points
1,000

Eternal_Life

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
818 1,000
Mafundi wa Subaru sasahivi hapa mjini wapo wengi tu.ni kujua yupi mzuri kwamaana wanazidiana ujuzi na uzoefu lakini Mimi nimeshapeleka gari yangu kwa mafundi wa Subaru kama watatu hivi wote ni wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilishapata uvumbuzi wa tatizo.Nlienda Biafra K/Ndoni kuna garage inaitwa 0-60.Jamaa wako vizur na ndo mahali na fanya service gari.Hawabahatishi.
 

Forum statistics

Threads 1,366,841
Members 521,570
Posts 33,379,006
Top