Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,856
- 2,953
Habari wanajukwaa
Simu hii japo ni mpya ila kwenye suala la fingerprint unaweza kuweka zaidi ya mara nne isitokea ikagoma muda mwingine inakubali ila muda mwingine inagoma. Hii ni tofauti na simu niliyoizoea ya J6plus ambayo ni nagusa mara moja tu.
Naombeni msaada wa kitaalamu je tatizo hili linatatuliwa vipi au ndo mfumo wa hizi simu ulivyo? Kwa watalaamu wa simu naombeni mnipe tricks.
Asanteni sana.