Wakituma wana jf 10 tu mwamba ana laki na hatarudisha hizo 90 kweli maisha akili. Simply means wanajf 10 wakimpa kumi atalazimika kurudisha Kwa Kila mmoja 20 je huu sio utapeli? Yani jioni ya Leo urudishe twice ya ulichokopa mh ....

HUenda leo kaamka na hamu ya breakfast ya kibabe.. supu ya kuku, chapati 4 maini rosti na maziwa fresh. Mwisho kuna pepsi au maji baridii.
Amalize arud akacheze forex au kubet 😂

Tuma kwa namba hii wana akili sana, wanaibukia kila sehemu. Kutoa namba na jina ni kawaida yao ili kukuaminisha. Meseji zao zimejaa katika simu yangu hadi kero
Ngoja bdae uje uzi hapa wa rip muanze kusema..... liteni tu ndio mwana kayamwaga! Asa si angesema tu tumvushe....
Binafsi kwangu yy kukwama na kuhitaji hilo teni ni kawaida ila kuahidi kulidabo tena joini ndio uhuni ulipo