Jamani nataka kununua external Disc ya GB 500,naombeni mnijuze ipi ni nzuri na Tsh ngapi?
Huyo ni junior member,labda hakuwepo wakati ikiongelewa.Msaidie jina la uzi au jinsi ya kuipata.hii kitu ishaongelewa sana humu. Jaribu kusechi
Huyo ni junior member,labda hakuwepo wakati ikiongelewa.Msaidie jina la uzi au jinsi ya kuipata.