A-town JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 494 Reaction score 169 Oct 27, 2013 #1 Wakuu naomba msaada, Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit
Wakuu naomba msaada, Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,673 Oct 30, 2013 #2 A-town said: Wakuu naomba msaada, Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit Click to expand... Hapop unahitajika kuinstall microsoft office either 2007, 2010 au 2013 zina hiyo kitu unayohitaji by the way ulifanikiwa kuactivate hiyo window 8.1 if yes ulitumia njia gani ?
A-town said: Wakuu naomba msaada, Nimeinstall win 8.1 kumbe haina office nikaweka office cha kushangaza sioni excel wala progarams nyingine na nina shida sana na excel nifanyeje. Mashine inapokea 32bit Click to expand... Hapop unahitajika kuinstall microsoft office either 2007, 2010 au 2013 zina hiyo kitu unayohitaji by the way ulifanikiwa kuactivate hiyo window 8.1 if yes ulitumia njia gani ?