Msaada wa english dictionary app nzuri.

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,123
Reaction score
2,266
Habari za majukumu wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni mnisaidie link ya kupakuwa dictionary yenye pronunciation (matamshi) ya AmE na BrE. Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mkuu huna play store au google play zenye application course ukiingia tu kichwa kichwa unaweza haribu simu
 
Mkuu huna play store au google play zenye application course ukiingia tu kichwa kichwa unaweza haribu simu
Ninazo but nimejaribu kuzitafuta but cjapata ambayo ni offline
 
Ninazo but nimejaribu kuzitafuta but cjapata ambayo ni offline
Mbona mm huwa nikiingia inakuja ni nzuri mno

Jaribu tena ndo maana Nizum kapicha na kukatuma katafute hako kapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…