Wakuu habarini za saivi,
Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed.
Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda kukosa kazi.
nimetumia hii email utawala@mwanza.go.tz. imefaile na kuniletea hii massage
Sorry, we were unable to deliver your message to the following address.
EMAIL]>:
550: The mail server could not deliver mail to utawala@mwanza.go.tz. The
account or domain may not exist, they may be blacklisted, or missing the
proper dns entries.
hii ndiyo email waliyo weka ila kila nikiweka inafail
Submit your application to email below
Utawala@Mwanza.go.tz
NOTE: Sellected candidates for this position will be informed for interview
Not More than 11th Sept 2022
Imetolewa na;
najaribu kutuma link ila tangazo lipo mabunde job ni kazi za icap wanataka watu karibu 300 ila wanatumia serikali ya huko mwanza ndiyo manadeal nayo. ssa kila nikituma email inakataa.Sasa si utume hiyo document ili tuone email
okSasa si utume hiyo document ili tuone email
sijaweka capital letter zote ni small letter na inagomaembu kwenye hiyo email.... ondoa hiyo capital letter kwenye neno Mwanza
iwe hivi utawala@mwanza.go.tz usiweke caps sehemu yeyote
Hapana Mkuu, huendi kukosa kazi. Kuwa mtulivu kila kitu kitakuwa sawa.
Hebu tunaomba ututumie picha au dakumenti ya tangazo la kazi moja kwa moja hasa sehemu iliyotajwa hiyo e-mail, tuone ili kubaini tatizo ni nini.
Inawezekana kuna makosa madogo unayafanya wewe kwenye uandishi.