Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 968
- 439
Habari za muda wanajanvi nilikuwa nataka nifanyie project moja ya Ku produce hologram images ( three dimension ) ila sijui pa kuanzia nikajaribu ku google lakini sijapatà good explanations ivo nimeona ni bora niulize umu ndani ili na wengine wafaidike kwa majibu mazuri na yenye mafunzo yatakayo patikana, so naitaji mchango wenu wa hali na mali