MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,756
- 6,684
Habarini wakuu! natumai muu wazima wa afya kabisa! ebana naombeni kwa yeyote humu anasaidie! nime-format laptop yangu na kuingiza windows tajwa hapo juu! baadae nkaa-update missing drivers nkapata baadhi na nyingine mbili ambazo ni Network controller na SM BUS Controller ndo zikakataa kabisa! naombeni msaada wakuu nifanyeje hapa? Natanguliza shukrani!!!!

