MSAADA JUU YA DRIVERS ZA DISPLAY

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,696
Habarini wakuu,
nime "install" windows 10 kwenye kompyuta yangu, katika michakato ya mwisho nimekuja ku update drivers zote, ila drivers za display zinagoma kuwa updated ingawa nimetumia njia ya ku update kupitia DEVICE MANAGER vile vile ku update za MONITOR, najaribu ku shusha na kuongeza mwanga wa kioo naona bado ni vile vile,

naomba msaada wa app nzuri ya ku update drivers ukiaachana na driver talent na driver pack solution au msaada zaidi ya app.
asanteni
 
unatumia PC gani?? je ipo compatible na windows 10?? ( Angalia windows button yako inaonesha alama ipi ya windows 7 au 8 na kuendelea)
issue iko ivi Jaribu kudownload driver separetly from web. harafu install kwa njia ya forced
 
Habarini wakuu,
nime "install" windows 10 kwenye kompyuta yangu, katika michakato ya mwisho nimekuja ku update drivers zote, ila drivers za display zinagoma kuwa updated ingawa nimetumia njia ya ku update kupitia DEVICE MANAGER vile vile ku update za MONITOR, najaribu ku shusha na kuongeza mwanga wa kioo naona bado ni vile vile,

naomba msaada wa app nzuri ya ku update drivers ukiaachana na driver talent na driver pack solution au msaada zaidi ya app.
asanteni
tumia driver packs solution latest siyo lazima udownload unaeza kutumia online installer mkuu utadownload ina mb chache utainstall na kuirun itascan pc na kuinstall drivers zinazo miss na kuupdate zilizopitwa na wakati hakikisha muda wafanya hivyo una kifurushi walau mb 500
 
Hpo kwenye latest hapo, ebu ngoja nii test kwanza mkuu,
 
windows script host is disabled, hapa ndipo ugomvi unaanza
To enable or disable Windows Script Host, type regedit.exe in Run box and hit Enter to open the Registry Editor. In the right panel, you will see Enabled. If you see the entry 0, it means that the Windows Script Host access is disabled on your Windows machine. Double Click on it and give it Value Data 1 to enableit.
 
Habarini wakuu,
nime "install" windows 10 kwenye kompyuta yangu, katika michakato ya mwisho nimekuja ku update drivers zote, ila drivers za display zinagoma kuwa updated ingawa nimetumia njia ya ku update kupitia DEVICE MANAGER vile vile ku update za MONITOR, najaribu ku shusha na kuongeza mwanga wa kioo naona bado ni vile vile,

naomba msaada wa app nzuri ya ku update drivers ukiaachana na driver talent na driver pack solution au msaada zaidi ya app.
asanteni
Weka model number ya computer yako hapa usaidiwe kwa mfano Dell inspiron 3543
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom