Msaada wa downloader ya kwenye youtube

Msaada wa downloader ya kwenye youtube

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habarini wakuu,nilikuea naomba msaada downloader gani naweza tumia kudownload video za YouTube kwenye simu yangu ya Android maana downloader zilizopo playstore naona zinazingua
 
Tafuta kupitia Google search “vidmate”pakua hiyo Apk yake,yaani ya vidmate.Hakikisha kuwa simu yako umeweka tick au ume allow installation from unknown source,kisha install hiyo vidmate.Hakika utaenjoy sana.
 
...kama unatumia laptop, fungua kitu inaitwa video conveter. uta copy url ya youtube na kui paste kwenye iyo video converter. itakuuliza. save or view
 
Tumia snaptube haipo play store nenda kaisearch google.. ni nzuri na ina options nyingi pia
 
Habarini wakuu,nilikuea naomba msaada downloader gani naweza tumia kudownload video za YouTube kwenye simu yangu ya Android maana downloader zilizopo playstore naona zinazingua

Jaribu YTD Video Downloader.
 
Me sina downloader lakin ninachofanya ni kuongeza herufi “ss”kati ya . Na neno youtube
Kwamfano
Www.youtube.com /watch...............
Hapo unaongeza herufi ss kwenye url baada ya kufungua video yako yani..www.ssyoutube.com /watch...........
Ukifanya hivo itakuelekeza unataka quality ipi basi unachagua na kudownload bila hata kuwa na app.
 
Hii ya kweli mkuu, let me test
 
Back
Top Bottom