brton
Senior Member
- May 7, 2019
- 177
- 152
Kweli we jogoo mtundu, Nani kakufundisha mbinu hiyoMe sina downloader lakin ninachofanya ni kuongeza herufi “ss”kati ya . Na neno youtube
Kwamfano
Www.youtube.com /watch...............
Hapo unaongeza herufi ss kwenye url baada ya kufungua video yako yani..www.ssyoutube.com /watch...........
Ukifanya hivo itakuelekeza unataka quality ipi basi unachagua na kudownload bila hata kuwa na app.