mhono Member Joined Dec 25, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Dec 26, 2013 #1 Jamani naombeni msaada wa kwenye dish. Ku-PAS 7/10 (68.5) na C-intelsat 64E hazionyeshi channel tena. Au wamehama frequency? Anayejua naomba huo msaada maana hapa nimekwama
Jamani naombeni msaada wa kwenye dish. Ku-PAS 7/10 (68.5) na C-intelsat 64E hazionyeshi channel tena. Au wamehama frequency? Anayejua naomba huo msaada maana hapa nimekwama