Msaada wa dharura

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Natafuta English course manake siku si nyingi nina intavyuu, itarushwa laiv kwenye media coz ni kitengo nyeti, panel itakua na idadi ya watu kama MPs. Niokoeni ili nisije nikajitemesha tonge kama yule mwanaCUF damdam aliyekataa tonge la EALA hadharani mchana kweupee huku wanae na wajukuu wakimshuhudia. "I am a..political degree and, and, and...."lol.. Nisaidieni wana chitchat..
 
ok...tuanze....
what is the blackbodi....?
what is the chicken and explain hen....
 
Mh!!! Si kuna jukwaa la lugha??? If you are really serious rush to jukwaa la lugha
 
yakiwakuta wala hamtasema hapa.

Sasa hivi mmewe kampa talaka ya kumwaibisha mtaani.

' iam a engineer company'
 
Mimi nitakupa hiyo kozi ila kabla ya kukupa hiyo kozi nataka ustate kwanza Archimedes Principle.
 
Ok tuanze na question tags.
She took my pen, tookn't she?
.
Haaaaaa.. Hicho ni kimombo cha kifizikia au? Hiyo sentensi ipo singular, ukiandika kwa plural naona itakua "She took my penis, tookn't she?"lol
 
ok...tuanze....
what is the blackbodi....?
what is the chicken and explain hen....

Preta u've jst reminded me, i was watching this movie and this guy went for an interview basi kufika tu akaulizwa, "what is the difference between duck?"...simple like that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom