Msaada wa dharura

Haya tuanze somo la leo
A for apple
B for banana
C for cat
D for .....
E for ......
Lol!
 
hahahaa kwa style hii lazma urudie nursery mara nane haki ya nani
.
We hufai kuwa mwalim, badala ya kuni'encourage' na kuniambia nifanye correction unanikatisha tamaa? Au ndo unadhihirisha necha ya walim wa TZ?
 
Kuna mmoja alisema.

Am a favourate of lion, am promote sports by friendly match and goat trophies.

Alikuwa anamaanisha:

ni mpenzi wa timu ya simba, anasaidia kukua kwa michezo kwa kuongeza mechi za kirafiki za makombe ya mbuzi.
 
babu mayai sio mchezo hasa uwe unafikiria unachotarajia kuongea ndio balaa tupu..
 
Kuna mmoja alisema.

Am a favouraye of lion, am promote sports by friendly match and goat trophies.
.
Kongosho mbavu zangu uuwiiiii.. Angejua angepiga mzinga wa konyagi, lazima angeongea kwa konfidensi kiingereza safiii..
 
Nimemkumbuka mwalimu wangu wa michezo o level...... "ODM, dont smokesmoke very the ball, minus iron to your mates" akimaanisha "ODM usivutevute sana mpira, toa pasi kwa wenzako"
 
Wale wagombea waliochemka kimombo walisahau dawa ya kuongea kimombo ni kupiga "tungi". Hakuna aibu wala kutetereka, ni full mikonfidensi!
 
Usicheke, hili ni janga la kitaifa.

Labda watangaze hali ya hatari kwa kweli.

.
Kongosho mbavu zangu uuwiiiii.. Angejua angepiga mzinga wa konyagi, lazima angeongea kwa konfidensi kiingereza safiii..
 
wengine hao.....
 

Attachments

  • confused speech.mp3.mp3
    1.9 MB · Views: 21

Similar Discussions

Back
Top Bottom