ndug wanajamii forum nahitaj msaada wa mawazo.
Nilinunua laptop aina ya Toshiba tar31.1.2014 na nikapewa Warranty ya 1 year Arusha mjini.
Ghafla imekufa spika na mimi kwa sasa nipo Moshi sasa nauliza je kwa case hii nikienda dukani Arusha watanisaidiaje?