zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 469
- 639
Habari wadau
Mwanangu kapata na huu ugonjwa anajikuna sn, vimetapakaa mwili mzima kasoro usoni, anayejua dawa ya huu ugonjwa anisaidie.
Asante