GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,139
- 6,902
Kama wako darini, panga mchakato huu ufanyike mchana kweupe kama saa sita au tisa mchana:
Fumua bati moja kisha panda darini na fimbo, piga sana popo wote hadi uhakikishe wote wametoka. Rudia zoezi hilo kwa siku tatu majira yale yale....
Popo hawatarudi tena hapo, watapoteana na kulazimika kuanzisha chama upya katika viwanja vingine....Kila lakheri!.