Msaada wa dawa ya kipele hiki

Msaada wa dawa ya kipele hiki

Mrembo Maya ungeishusha camera chini kidogo ili tuone yaliyomo yamo?
 
duh, mikono imekomaa utafikiri mwanaume, wewe ni mkulima? ndio unaonyesha watu vuzi lako wakati icho ni kiupele tu kimetokana na kuvimba kwa ndani baada ya kunyoa, huo unaovilia ndani ni unywele unaota kwa ndani. siku ingine acha kujiuza mtandaoni kwa kuonyesha sehemu za siri. ungetoa description tu mbuzi wewe.
Bila picha ungeonaje hiyo ingrown hair?
Ungemsaidiaje huu ushauri wako mzuri wa hiyo nywele?
 
Watu bwana! Mnaishi duniani au Mars? Uchafu uko wapi hapo dada wa watu msafi tu na hizo zivu ziko katika hali nzuri.

Kikubwa msaidieni changamoto yake, wake zenu wako kama Beyonce au Gigi Hadidi? 😝
 
Dah baada ya picha nimeishiwa nguvu basi tu siyo kwa ubaya lakini!
 
paka dawa ya meno...siku mbili tu kinapotea bila kutumbua
 
Back
Top Bottom