Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 409
Imenitokea kama siku tatu zimepita. Ilianzia pajani kama kajibu....sikukatumbua vizuri.
Ila kakapotea. Baada ya siku mbili ukatokea uvimbe mwingine kwapani mmoja, nikauminya ila siku ya pili ukaja mwingine juu yake.
Dawa yake ni nini? Inaweza ikawa imesababishwa na nini? Mkono mzima unauma saana.
Kwa wenye ufahamu au waliowahi kutokewa na hii hali. Ni kwapa la mkono wa kushoto tu....mkono mwingine hauna shida na wala hauumi.