MSAADA WA DAWA KWENYE MAHINDI

GREGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,282
Reaction score
2,938
Heshima kwemu wanaJF,
Nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma ila nimekutana na changamoto ya wadudu wanaoharibu majani ya mahindi.

Naombeni msaada wa dawa gani nitumie.
Picha ziko chini

 
Ahsante sana mkuu kwa ushauri.

Je, nikipiga hiyo dawa yatarudi kwenye hali nzuri au ning'oe maana karibu robo tatu ya heka iko hivyo?
Using'oe, piga kwanza naamini itasaidia.. maana hata mm nishawahi kutumia na imenisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…