Msaada wa dawa kwa anaejua!

Asante sana mkuu,yote uliyoeleza ndo hali niliyonayo,Mungu akubariki sana kwa ushauri mzuri sana.kwa sasa nipo Kilimanjaro nitajitahidi wakati natumia aloevera kama alivyonishauri mdau mmoja hapo juu niende hospital
Ukikosa Alovera tumia Utomvu wa Mapapai especially mabichi ila yawe yamekomaa vizuri atapona kabisa
Barikiwa sana mkuu
 
Nimepona bawasili kupitia jamii forums hapa hapa ila sikumbuki ule uzi
Nilikuwa na Google dawa ya bawasili nikakutana link iliyonileta jf
Hata mm naungana na ww! Hiyo ni bawasiri na nilipona kama ww kupitia uzi wa jamaa flani aliwahi kuandika hum hum jf. Siukumbuki vzr huo uzi ila akiutafuta ataupata, maelezo ya uzi nayakumbuka na nimekua nikishauri watu wengi tu kutumia hiyo dawa na wanapona. Unaweza ukateseka sana alafu ukaja ukaponyeshwa na kitu kidogo sana mpaka ukawa unashangaa.

Dawa ya bawasili ni mafuta ya MNYONYO (CASTOR OIL). Ukipata yale meupe ambayo hayajapikwa ni mazuri zaidi. Bei yake haizidi 7000 kichupa kidogo.

MATUMIZI: Safisha vzr hicho kinyama kwa maji safi, kisha jifute kwa tishu au taulo nyepesi pawe kama pamekauka, then paka mafuta ya mnyonyo hicho kinyama chote. Fanya hvo mara tatu kwa siku kwa muda wa siku nne mpaka saba inategemeana na ukubwa wa kinyama.
Mkuu jaribu hiyo njia kwanza kabla hujaenda hospitali kukata.

Pia zingatia unywaji wa maji na kula matunda na mboga za majani ili kuepuka kupata choo kigum. Unapokua unakaa sana chooni na kutumia nguvu nyingi kupush choo bas tegemea tatizo kujirudia.
Mungu akuponye
 
Mimi namshukuru Mungu, kuna watu wanateseka aisee, pole sana mkuu Daktari #1 ni wewe yule wa hospital ni msaidi wa afya yako ila Daktari #1 ni wewe jitibu utapona
 
Dalili ya bawasili, mara nyingi hasa bawasili ya ndani. Kinyama = mshipa wa damu kuwa clogged kutokana na muccus then huwa hivyo. Take care what you eat punguza wanga mbogamboga usikose kwenye mlo wako hii ndio 🔑, punguza alcohol if unatumia.
Stay hydrated 💧
 
Elf 50 tu dawa ipo
 

Attachments

  • Screenshot_20260329_003349_Instagram.jpg
    120.6 KB · Views: 21
Elf 50 tu malipo baada ya kupokea 0613 833 944
 

Attachments

  • Screenshot_20260311_114214_Instagram Lite.jpg
    110.4 KB · Views: 20
Hatua ya mwanzo ya bawasili, kama ni mtu wa pombe kali na nyama choma kwa wingi acha au punguza.
Punguza ulaji wa wanga na kula mboga za majani, matunda. Special diet inahitajika zingatia mboga yenye biringanya, ngogwe, mboga za majani na wanga kidogo sana + papai mara mbili kwa wiki utanipa mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…