Ha ha ha imebidi nichekePromo only
Ha ha ha imebidi nicheke
Sa mtu ana sukari afu tena wanampa hizo juice, sijui juice sijui dawahawa jamaa ni matapel kweli, kuna ndg yangu anaumwa sukari nikawatafuta tukanunua hayo majuisi yao. Aisee alivyokunywa sukari ikapanda hadi 20 kutoka 12 alafu yanapigiwa cm hayapokei tena baada ya kula hela
Like seriously???lipia tangazo buanaOmba aumwe ndugu yako au ww ili utoe tangazo,asante nashukuru.