Msaada wa dawa hii

Msaada wa dawa hii

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,038
Reaction score
4,449
Habar wakuu naomba kuuliza Kama umekunywa hii dawa ukanywa pombe kwadharura Kuna madhara yoyote ya Mara moja ? [emoji120][emoji120][emoji120]

Asante
IMG_20201024_172136_706.jpg

Msaada waharaka wakuu nimepata kadharura....
 
Tuna uhaba wa madaktari tulia wewe..
Halafu mkuu pombe gani hiyo ya dharura mbele ya dawa! Your not serious my friend..
Nasubili huku nachelewa [emoji24]
 
Haina madhara hii ???
Kwani hizo pombe ni za ofa au unanunua kwa pesa yako?

Kunywa maji mengi, wahi nyumbani ukalale. Hizo dawa zinaleta usingizi..ukijumlisha na hizo pombe utazima bila kujielewa.
 
Kwani hizo pombe ni za ofa au unanunua kwa pesa yako?

Kunywa maji mengi, wahi nyumbani ukalale. Hizo dawa zinaleta usingizi..ukijumlisha na hizo pombe utazima bila kujielewa.
okh asante
 
Nurse alisema ntumie hizi pale pharmacy ewt
Eehe hayaa...!! Pambanaa sema POMBE NA DAWA HAZIENDI ACHA TAMAAA...PONA KWANZA japo dawa pekee inayoweza kulete side effect kubwa mpaka kupelekea Kifo ni Metronidazole lakini hizi zingine chance ya kulete shida ni kubwaa jali afyaa yako mzee pombe zipo tuu.
 
Hiyo ni mbaya maana ynyewe tu inakulwesh uogeze na pombe kweli utabaki mtu kweli
 
Back
Top Bottom