malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Offline mkuuonline au offline?
Offline mkuu
Mkuu kama ni kwa online nasaidiwaje mm sio mtaalam sana wa mambo hayaMkuu nazani excel waweza fanya yote iyo jitahidi tu kuweka id yako kwa easy searching
Mjukuu wangu database ni somo pana sana si rahsi kiasi cha kusema upewe maneno machache hapa uwe umeelewa kwa mapana yake nakushauri ingia youtube kuna tutorial nzuri zinaweza kukusaidiaWanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo ya registration yaani kutusajiri(kuingia taarifa) Ku edit na hata kuweza kufuta taarifa ?
Kikubwa ni kuwa na database ya kawaida ambayo nitaweza kusajiri taarifa mbali mbali wa watu mfano Umri, jina, kazi afanyayo, Elimu yake na vitu kama hivyo.
Nimewakimbilia humu nikijua kuwa mtanisaidia maana humu ndio sehemu sahihi.
KARIBUNI
Asanteni.
Una maana ya access...???Mkuu nazani excel waweza fanya yote iyo jitahidi tu kuweka id yako kwa easy searching
Excel is not DBMS mbona mnachanga... Access ndio sehemu yake...Kwa offline hilo unalotaka tumia tu MS EXCEL. ....
Kwa online inategemea Wewe unajua lugha gani. Ila nyepesi ni Mysql +PHP
Huyo hajui hayo....yeye anataka kutunza taarifa. Hiyo ni option tumempa ambayo itakua rahisi kwakeExcel is not DBMS mbona mnachanga... Access ndio sehemu yake...
Hajasema DBMS=database management systemExcel is not DBMS mbona mnachanga... Access ndio sehemu yake...
Leta hela nkuandalie maana hapo ji codes tu kama excel utashindwa ingawa excel still is very powerful. But ukidhndwa njoo nkuandalie hyo db ila not free plse.Wanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo ya registration yaani kutusajiri(kuingia taarifa) Ku edit na hata kuweza kufuta taarifa ?
Kikubwa ni kuwa na database ya kawaida ambayo nitaweza kusajiri taarifa mbali mbali wa watu mfano Umri, jina, kazi afanyayo, Elimu yake na vitu kama hivyo.
Nimewakimbilia humu nikijua kuwa mtanisaidia maana humu ndio sehemu sahihi.
KARIBUNI
Asanteni.
Tuwasiliane inboxWanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo ya registration yaani kutusajiri(kuingia taarifa) Ku edit na hata kuweza kufuta taarifa ?
Kikubwa ni kuwa na database ya kawaida ambayo nitaweza kusajiri taarifa mbali mbali wa watu mfano Umri, jina, kazi afanyayo, Elimu yake na vitu kama hivyo.
Nimewakimbilia humu nikijua kuwa mtanisaidia maana humu ndio sehemu sahihi.
KARIBUNI
Asanteni.
mambo vipi mkuu ? cheki baadhi ua kazi yanguWanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo ya registration yaani kutusajiri(kuingia taarifa) Ku edit na hata kuweza kufuta taarifa ?
Kikubwa ni kuwa na database ya kawaida ambayo nitaweza kusajiri taarifa mbali mbali wa watu mfano Umri, jina, kazi afanyayo, Elimu yake na vitu kama hivyo.
Nimewakimbilia humu nikijua kuwa mtanisaidia maana humu ndio sehemu sahihi.
KARIBUNI
Asanteni.
Approach hii ni nzuri pia, bila Shaka ni rahsi sana kwa alieleta mada hopefully atakuwa amekuelewanimecheki hapa google contacts inaweza fanya mambo yote uliyoyataja, na uzuri wa google contacts ni kwamba utaweza kumanage kwenye kifaa chochote iwe computer, tablet au simu. fuata step hizi.
1. hakikisha una email ya gmail ni vyema hio email ikawa ni kwa kazi hii tu.
2. ingia google contacts Google Contacts
3.bonyeza kialama cha ku add contacts mara nyingi kinakuwa kulia chini
4. eka contact, picha, tarehe ya kuzaliwa na details zote za mhusika. kama kuna detail unataka kujaza na hakuna box la kujaza click custom field halafu specify ni kitu gani. mfano unaweza click custom field halafu ukaandika elimu na kwa mbele ukaandika degree ya nyuki. angalia hii picha mfano wa contact yangu yenye details
5. ukieka contact zako zikiwa nyingi unaweza kuzitengenezea magroup, mfano una watu tanzania nzima unaweza ukaeka group la contacts za tanga, dar, moro, mwanza etc itategemea na mwenyewe utakavyotaka.
6. export mara kwa mara hizo contacts na uzisave mahala salama incase email yako ikipata tatizo usizipoteze