Msaada wa darasa

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
Nina laptop aina ya toshiba na nilikuta window 7 mimi nikabadili kuweka xp ,sasa chaajabu kila nikijaribu naona zinajaa window tu badala ya ku delete za zamani ,zina zidi kuwa nyingi zipo mbili sasa

Naombeni msaada ntazifuta vipi ili ibaki moja window xp zisiwe mbili

Ahsanteni
 
pengine sababu umeeka windows ya zamani ndio maana imeshindwa kutoa windows mpya.

fanya clean installation, wakati unaeka windows format hdd kwanza itakaa windows moja tu.

swali la ziada kwanini unaeka xp? windows 7 ina nini? xp sasa hivi haina support.
 
Ila window 7 to xp...... What the hell were you looking for
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…