Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
Hapo kwakweli sijui kikubwa nyie ombeni na sali sana kwa imani yako uchaguliwe maana kufaulu,kusoma,kupata kazi na kupambana na maisha ni vitu tofauti sanaaHiyo ni minimum entry so hilo neno at least lina maana kubwa sana. Kama pesa anayo aombe ila asiwe na mategemeo makubwa atafute alternative way. Kwa ajili ya future ya maisha yake.