Msaada wa connection ya kazi za security

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
886
Reaction score
1,588
Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS kupitia GARDAWORLD.
Nimefanya applications kwenye kampuni mbalimbali kwa njia ya email nimeishia kuombwa pesa ambayo hata sijui naipata wapi,
Kama kuna nafasi au kuna mtu anayehitaji mtu mwenye ujuzi kama huu, Ningeshukuru sana ukinipa mwongozo
0763845544
AHSANTE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…