Pole sana mkuu,ndio changamoto za ujasiriamali.Pita kwenye magenge kama kinondoni kwa manyanya,Mwenge na mingineyo.Mahoteli yote watu wame cover mkuu,mzee wangu alifanya hiyo yalimkuta hayo,ila usikate tamaa.Njia nyingine unayoweza kufanya ni kupitia kumbi za maharusi waambie wakuunganishe na watu wa catering,unaweza kupata order kila wikend.
All the best