Kama inakuja na Xp na mlango wa CD hata sio DVD hata uongeze ram na hdd haitasaidia kitu. Hio tech ya karibia miaka 20 iliopita.Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer Na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD haiingiriani, kingine inaganda sana afu ipo slow sana,
Swali langu vipi kunauwezekano wa kuiwekea vipi vingine kama RAM Na hard disk kubwa, hili iwe vizuri, zaidi
Na je vipi kuhusu Window hiyo kuna uwezekano wa kuchange nikapiga ata 7 ya kawaida?
Vp kuhusu kuweka game kama FIFA 2020 au GTA 4 Na kuendelea?
Au inatakiwa niongezee vitu gani? Hili nieenjoy nayo kwa matumizi ya home tu,
Asante kwa kusoma, naomba maoni yenu
sema sipo kkooKama inakuja na Xp na mlango wa CD hata sio DVD hata uongeze ram na hdd haitasaidia kitu. Hio tech ya karibia miaka 20 iliopita.
Madesktop yamejaa kibao kkoo, Mara Mia uchukue pentium ya kisasa halafu taratibu Uta upgrade baadae. Bei zake ni around laki 1 mpaka laki na nusu.
Hata kama haupo Kkoo mkuu naamini huko ulipo zitapatikana, bora ununue kitu chenye perfomance ya kawaida lakini unaweza kuki upgrade kuliko ununue machine kama hio ambayo itakua slow kupitia maelezo.sema sipo kkoo
izo ni old model njooo kariakoo tukuuzie vyuma cpu/full desktop .cpu tu lak mpaka lak na nusu window 10....0714689280Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD haiingiriani, kingine inaganda sana afu ipo slow sana.
Swali langu vipi kunauwezekano wa kuiwekea vipi vingine kama RAM Na hard disk kubwa, hili iwe vizuri, zaidi. Na je vipi kuhusu Window hiyo kuna uwezekano wa kuchange nikapiga ata 7 ya kawaida?
Vp kuhusu kuweka game kama FIFA 2020 au GTA 4 Na kuendelea?
Au inatakiwa niongezee vitu gani? Hili nieenjoy nayo kwa matumizi ya home tu,
Asante kwa kusoma, naomba maoni yenu
boss sisi tunakutumia mpaka mkoa uliopo na unalipia ukishakagua machine yako tuna mawakala mikoa yote unasema tu location tunatuma kama bomu vile 0714689280sema sipo kkoo
Kaka mna machine za generation ya 9,10,11?-core i5,i7,i9izo ni old model njooo kariakoo tukuuzie vyuma cpu/full desktop .cpu tu lak mpaka lak na nusu window 10....0714689280
ndio unapata sisi ukija ofcn unaagiza machine unayotaka kwa bei rahic ndan ya masaa mawili inakua ofcn wakati ata ujamaliza soda(tunashift kutoka sehemu flani) ikifika unakagua unalipia pesa ....ndugu call 0714689280Kaka mna machine za generation ya 9,10,11?-core i5,i7,i9