Msaada wa chuo kizuri cha biashara 2017

Dictor

Member
Jan 30, 2017
5
0
Natumain mpo OK...Naomba mnisaidie nahitaji kujiunga na chuo cha biashara nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
 
Hatua zake ni zip?
oy kwakuwa mara yako ya kwanza kutaka kufanya applcation nakushaur nenda internetcafe ukiwa mkono una elf 20 , mweleze mmhudumu wa pale kuwa unataka kujiunga na chuo yeye ndio atakae kufanyia yote, ucjarbu kufanya mwenyewe waweza harbu pesa yako, sawa?
 
Back
Top Bottom