Msaada wa chuo jamani!!

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Mimi nimemaliza form 4 mwaka jana,nahtaji chuo chochote kinachofahamika serikalini kinachotoa mafunzo ya "land surveyors"msaada jamani:
Thanx.
 
Morogoro kuna chuo kinashughulika na issue za ardhi, sina uhakika na jina lake jaribu kufatilia ka wanatoa hy kozi!
 
Chuo cha ardhi morogoro kinakufaa, ukimaliza diplo fanya uombe bachelor ardhi university.
 
Chuo cha ardhi morogoro kinakufaa, ukimaliza diplo fanya uombe bachelor ardhi university.

Asante sana brother vp kuhusu taratibu ama mashart ya kujiunga na chuo hk cha ardhi morogoro?
 
Back
Top Bottom