msaada wa chipset (SoC) za simu

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
kumekua na aina mbali mbali za chipset katika simu ningependa kujua zipi nzuri.
mfano nazozitambua ni adreno cortex, snapdragon, media tech.
ningependa kufahamu zaid.
kwa uezoef wangu snapdragon ni nzuri sababu iko fasta ujushindana na nyingine mfano lumia phone au nokia ziko bomba sana.
 
Naonsa Samsung wanatoa simu zenye chipset za aina mbili either Snapdragon au Exynos.Nimetumia simu yenye chipset ya Exynos naona optimization ya battery ni nzuri sana.Naomba kujua utofauti wa hizi chipset mbili.
 
Back
Top Bottom