Nimejaribu kusunguka hapa mjini kwenye maduka kadhaa ya vifaa vya electronics nimekosa kabisa charger please kwa yeyeto anaiweza kupata Panasonic Lumix DMC-TZ10 charger naomba tuwasiliane kwa No. 0754827198
hapa mjini ndio wapi mkuu ? Server za Jf ziko USA admin wako bongo member wako kila sehemunchi mbali mbal duniani.
Anyway jaribu kungalia kitongoji hiki cha ebay. Panasonic Lumix DMC-TZ10 charger | eBay This is global village. na ndio faida ya internet. U can buy anything anywhere.