- int main (void) { printf ("%ld\n", 365L*24*60*60); } or int main (void) { printf ("%ld\n", 366L*24*60*60); }
Akipata hiyo degree awagawie!
Inawezekana ni dogo wa form one maana sidhani mtu anayetafuta degree anaweza kushindwa hata ku-google tu!Akipata hiyo degree awagawie!
Haijalishi yupo form one au chuo, if u have to learn lazima ukubali kujishusha...
i started programming in 2009 nikiwa form one...
Atatugawia maujanja aliyopata.
Haijalishi yupo form one au chuo, if u have to learn lazima ukubali kujishusha...
i started programming in 2009 nikiwa form one...
Aidha hujasoma vyuo vyetu au hauishi Tanzania. Sio tu google kuna watu wa degree ICT hata kushika mouse hawezi!Inawezekana ni dogo wa form one maana sidhani mtu anayetafuta degree anaweza kushindwa hata ku-google tu!
May be, kama akibadilika. lakini kwa mtindo huu wa kubandika assignment wengine wanafanya, sidhani!:A S 39:Atatugawia maujanja aliyopata.
Elimu yetu ya kibongo bado inachangamoto nyingi sana katika vitendo.Aidha hujasoma vyuo vyetu au hauishi Tanzania. Sio tu google kuna watu wa degree ICT hata kushika mouse hawezi!
Nimekutana na watu wengi sana ambao kwenye theory humuelezi kitu yani amekupiga gap matata, lakini mkija kwenye kuapply; unamkuta yuko practically very poor, sasa mambo mengine hayatembei kwa theory yalitengenezwa yafanyike practically, computer included..... So i support u fully.Elimu yetu ya kibongo bado inachangamoto nyingi sana katika vitendo.
Nina uhakika asilimia 200 hii program haitokupa jibu husika, kwa sababu zifuatazo. variable year != Year (case sensitive) halafu je mwaka wenye siku 366? Hiki kiprogram kidogo lakini kinahitaji test condition ili kifanye kazi sawa sawa.