Msaada wa business ideas, kwa mtaji wa M4 ukanda wa Pwani

melick odas

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
43
Reaction score
48
Habari wakuu ,

Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.

Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.

Ahsante.
 
Hii imekaa sawa, ngoja niifanyie uchunguzi zaidi
Hakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.
 
Habari wakuu ,

Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.

Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi.

Ahsante.
Nunua kijieneo nje ya mji kidogo kwa milioni 2 then jenga hema ya mbao au miti na mabati kwa juu
Anzisha Kanisa mdogo mdogo then ukipata nguvu kiasi kama Tsh 3M nicheck nikupe connection ya mganga mmoja yuko Kenya yeye anadeal na kuwapa watu uwezo wa kutenda miujiza (sio kama ile ya Yesu)
Ila unakuwa kama hawa manabii wetu toleo la sasa japo uwezo huo utakuwa ukiongezeka hatua kwa hatua kulingana na masharti utakayopangiwa huko.
Ila ukiwa na bidii ndani ya miaka mitano wewe ni tajiri mkubwa sana!
Mimi mwenyewe niko kwenye mchakato wa kuachana na hii biashara yangu ya majeneza nihame mkoa niende kule ambako hawanifahamu nikaanzishe kanisa huko japo nimeplan kujifua kwanza kwenye kukalili vifungu vya biblia na bla bla kadhaa maana mimi sio mwongeaji mzuri kwenye public hivyo natakiwa mazoezi kwanza
 
Hakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.
Umetisha mkuu, naona idea hii imesimama... lazima nirudishe feedback
 
Hii nzuri kama umekulia kwenye imani Sunday school kwa sana na vifungu vya biblia vikiwa vipo kichwani tofauti na hapo itachukua muda mkuu, sema wewe upo kwenye hatua nzuri 😁
 
Hakikisha ukimaliza uchunguzi unarudi hapa kutoa ushuhuda.. Me mpaka sahizi bado nimelala, nikiamka ni supu, konyagi mdogo na bia. then naenda kuwatembelea vijana, naondoka zangu shambani kucheki mifugo. kazi ambazo watu wanaona za kijinga zina hela sana mzee. nimesoma IT mtaala wa SISCO na nina cheti kizuri tu. ika ukikitaka nakupa maana sina kazi nacho. Kwanza sikumbuki nilipo kiweka.
Pole mkuu
 
Back
Top Bottom