Msaada wa bure unaendelea kwa waliokwama NACTE

Msaada wa bure unaendelea kwa waliokwama NACTE

mayestee

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
97
Reaction score
32
Jamani kama bado una shida na NACTE haujaapply hadi sasa hivi natoa msaada wa bure kabisa. Kama una shida yoyote niulize ili ukamilishe usajili wako.
Na vyuo navyo competition ni kubwa sana hasa vya serikali na vingine vimeshajaa. Nicheki hapo
0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)
 
Jamani kama bado una shida na nacte haujaapply hadi sasa HV natoa msaada wa bure kabisa kama una shida yoyote niulize ili ukamilishe usajili wako
na vyuo navyo competition ni kubwa sana hasa vya serikal na vngne vmeshajaa
nicheki hapo
0766414834(whatsapp na mawasiliano pia
Waliofanya application awali na wamekosa wakifanya application upya wanalipia upya?.
 
Hapana. Unaingia tu kwenye account yako unafanya application kwenye vyuo na kozi nyingine.
Ukiingia unaambiwa application closed.
Ukitaka kuendelea naona km inakua inagoma
 
shikamoo kk!! kk mi nna shida ya 30000 ya kufanyia application nacte
 
Apply mechanical engineering au food science and technology, film and multimedia technology, au renewable technology ndo zenye nafac dit kwa Sana course Kama Saba zmeshajaa
 
Naomba unisaidie namna yaku upload transcript ya matokeo ya certificate. nimefanya aplication ya diploma ya nursing ila sijachaguliwa.NAWASILISHA
 
Siku znazd kuyoyoma na form six wengne bado wapo njia Panda so mwenye shida yoyote either kasahau password yake, hajaapply, ushaur WA vyuo, faculties na shda zngne zozote .
Ncheki hapa 0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)
 
Kuna jirani yangu kakumbwa na dhoruba chuo cha afya mwaka wa pili ngazi ya cheti nursing kafukuzwa, sasa anataka kujua Kama kuna uwezekano wa kupata nakuendelea alipofikia chuo kingine.

Nb.
Ana C ya chemistry, D ya biology na E ya physics. Alianza chuo kabla ya muongozo mpya wa udahili vyuo vya afya.
 
Siku znazd kuyoyoma na form six wengne bado wapo njia Panda so mwenye shida yoyote either kasahau password yake, hajaapply, ushaur WA vyuo, faculties na shda zngne zozote .
Ncheki hapa 0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)
naomba msaada katika password maana nimeisahau
 
Siku znazd kuyoyoma na form six wengne bado wapo njia Panda so mwenye shida yoyote either kasahau password yake, hajaapply, ushaur WA vyuo, faculties na shda zngne zozote .
Ncheki hapa 0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)
Nawezaje kuomba vyuo vya government course diploma education maana nikiangalia kwenye profile yangu naona vyuo vya private pekee! msaada please maana hv ada ni kubwa eti
 
Mwenye uelewa na hili anisaidie ufafanuz. Nilitaka kuappy diploma in primary education kwa matokeo ya kidato cha nne lakin kila ninapochagua chuo kozi zinazoonekana ni za techinical certificate in primary education. Je diploma haipo tena imefutwa?
 
Back
Top Bottom