mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
Wadau naomba msaada hapa najua mna roho za kiungwana bila kukejeri nilitumia bb 8520 mwanzo bila tatizo mpaka nilipoibiwa uswahilini bila kugundua, nimehangaika nikapata pesa kiasi nimeingia sokoni nimenunua hii mpya ndo inanitatiza sasa nimeweka kifurushi cha 20000/- tsh cha 0713, sasa nimekatwa ila huduma haijakamilika sipati net wala bbm nikaenda mlimani city tigo kwa maelezo nikaambiwa simu yangu ni ya arizonwireless tu hivyo ukiweka laini ya mtandao mwingine huwezipata huduma mpaka ifanyiwe malekebisho ya kitaalam najua hapa naweza pata msaada kwa anaejua tatizo hili, pls.