Msaada wa biashara ya viatu (sneaker) kutoka China

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
113
Najaribu kuangalia links za maduka china yanayouza sneakers but naziona ila sizipendi ninazoziona.

Kama kuna mtu china hapa ama unauzoefu na sneakers naomba uniunganishe nione nitafikia wapi!
Ahsante sana
 
Back
Top Bottom