Msaada wa bei ya sumsung j7 prime

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
439
240
Wana JF msaada wa simu sumsung galax J7 prime, na J7 pro Samsung laini pia hii teminology ya flag ship ina maana gani?
 
pia hii teminology ya flag ship inamaana gani

yani hiyo ni kwamba J7 ukiagiza inakuja kitu na boxi kwenye meli yenye bendera maalum ya Tanzania, zile meli zilizosajiliwa Zenji. Ndo maana ya "flag ship."
 
j7 prime around laki 5
j7 pro around laki 6

flagship ni simu kali ya kampuni ambayo latest technology za hio kampuni zimeekwa humo. bei yake mara nyingi inakuwa kubwa na inabadilika kila mwaka. mfano wa flagship ya samsung ni galaxy s8
 
Asante sana
 
Samahani chief,Ni utofauti gani uliopo kwa anayemiliki S7 na S7edge au S6 na S6edge,kinachonichanganya ni kuona moja ina bei kubwa zaidi ya nyingine wakati kwa macho yangu nao utofauti mdogo labda wa betri au memory
 
yap utofauti ni mdogo hasa kwenye s6, kwenye s7 ndio angalau edge ilikuwa na battery kubwa. soc ni ile ile.
 
Kwa hiyo S7 na S7 edge haina utofauti zaidi ya betri tu,mbona bei ya S7edge kubwa sana,manake kama utofauti ni betri na size yake haukupaswa waweke bei kubwa nmna hiyo kwa edge
 
Back
Top Bottom