dah labda pengine zamani kidogo lakini now zipo hadi GB 320,1T and 2Tnilitafta kariakoo hadi nikachoka external hdd wanadai zinaanzia gb500 kwenda mbele.
asante sana mkuu kwa kunipa mwanga aisee kuna watu walitaka kuniuzia HDD ya GB 320 kwa 160,000 .mkuu external hdd ni internal iliyovishwa cover,
320gb mpya ni around 60,000 na cover ni around 10,000 hivyo jumla andaa kama 70,000
kwa 160 unapata 1TB (gb 1000) na hela ya soda inabakiasante sana mkuu kwa kunipa mwanga aisee kuna watu walitaka kunipiga GB 320 kwa 160,000 .
hard discNdonini hio
Kuna fake na original? Na utazitambuaje? Mkuukwa 160 unapata 1TB (gb 1000) na hela ya soda inabaki
sijawahi ona hdd fake, zipo tu low quality na high quality. ila kama ni external ni vyema kuifungua maana usije uziwa flash na vipande vya vyumaKuna fake na original? Na utazitambuaje? Mkuu
Nenda kkoo zipo nyingi tu. Ni 8,000 mpk 20,000 kutegemea na quality unayotakaJ.m.n me naitaj kujua bei ya external case peke ake bila hard disk YK Ni ngp Na Kama unayo nambie upo wp Na shngp