N Ngalewa Member Joined Jun 24, 2012 Posts 97 Reaction score 11 Jun 24, 2012 #1 Simu yangu ina shida nilikuwa naitumia vizur ila gafla ikazima now nikiwasha ina load ikifika katikati ina stop haiendelei wataalam naomben msaada.
Simu yangu ina shida nilikuwa naitumia vizur ila gafla ikazima now nikiwasha ina load ikifika katikati ina stop haiendelei wataalam naomben msaada.
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Jun 24, 2012 #2 Haijibu chochote kama error 432 kabla haija zima? Inaonesha alama ya betri na x?
leh JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 829 Reaction score 376 Jun 24, 2012 #3 itakuwa firmware yako imecorrupt. baadye nitarudi na instructions plus links za kukusaidia kuweka firmware upya. for now, naskia wali fish calling me :biggrin:
itakuwa firmware yako imecorrupt. baadye nitarudi na instructions plus links za kukusaidia kuweka firmware upya. for now, naskia wali fish calling me :biggrin:
N Ngalewa Member Joined Jun 24, 2012 Posts 97 Reaction score 11 Jun 24, 2012 Thread starter #4 nisaidie kaka mana nikiwasha inaload nakuishia kati msaada no mawasiliano now.